HATUPIMI BANDO

18 May 2013

MPICHA PIGA WA BLOG HII AFUKUZWA KAZI KWA KAT END PESTI

Eti mpicha piga wa blog hii isiyo na breking news kaleta picha hizi anadai alipiga kwenye mechi ya Simba na Yanga leo hii. Mhariri asiye mtendaji kaamua kumfukuza kazi tena na kumwambia asionekane eneo la ofisi za blog hii shenz taip zake, hizi picha gani za Simba na Yanga?


No comments: