HATUPIMI BANDO

10 May 2013

MDADA AFICHA KIINGILIO CHA DISKO MAHALA PABAYA

Katika hali ambayo inaonyesha kuwa vibaka sasa wamefikia pabaya ni ile hali ya watu kukosa kabisa mahala pa kuficha mkwanja wao, kwani hakuna mahala ambapo vibaka wanaonekana hawafiki. Juzi kati blog hii isiyo na lolote la maana imepata picha ya mdada akisaka kiingilio chake cha disko sehemu mbaya kabisa. Alipoulizwa na mtangazaji, samahani na muandishi wa blog hii ya kimataifa kama CNN, kulikoni?  akasema anatafuta kiingilio lakini hakioni hajui kama vibaka wameshamuibia au la. Sirikali yetu sikivu isikilize na hili.

No comments: