HATUPIMI BANDO

20 May 2013

BREAKING NYUUUZI...BAADA YA FUJO ZA MABOMU KUTOKEA KATIKA BLOG HII, TUNAANZA KUTOA MATANGAZO

Blog yenu iliyojaa uzalendo uliopitiliza imeona kwanini isirudishe fadhila kwa jamii kwa kutangaza bidhaa za nchi yetu bureee? Blog hii imeanza leo kutangaza bureeeeeeeeeeee matangazo ya kizalendo si unaonaeee. Tupande ndege yentu wakati tunakwenda nje za nchi, si unaonaeee

No comments: