HATUPIMI BANDO

20 May 2013

BREAKING NYEUSIIIIIIIII MRISHO MPOTO AJIUNGA RASMI JANGWANI

Habari ambazo hazina uhakika kabisaa ni kuwa Mrisho amejiunga na timu bingwa iliyopo pale Jangwani kunakofurika maji kila mwaka. Waandishi wetu wamekimbilia huko ili kuhakikisha jina la Mrisho aliyejiunga na klabu hiyo. Uongozi wa blog hii isiyo na maana yoyote ili uonekane uko bizi ukaona labda Mrisho husika ni huyu Mrisho Mpoto, hivyo tunaendelea kugugo ili tupate jibu la uhakika , subirini hapo hapo tuhakikishe, maana tunajiuliza kama ni Mrisho Mpoto je atacheza nafasi ipi? kipa? refa?, lainzmen? au kocha wa Jangwani? Kaa mkao wa kula

No comments: