HATUPIMI BANDO

20 May 2013

BLOG HII YAWAPA NYUMBA ZA KIFAHARI WAFANYA KAZI WAKE

Nyumba ya kifahari ya moja wapo wa waandishi wa blog hii ambayo amekodishiwa na uongozi wa blog hii. Kijana huyu ambaye kwa kweli kutokana na mshahara mkubwa ambao anapata ameweza kuweka fanicha za bei mbaya humu ndani na pia kila chumba ameweka AC. Pia ameweza kununua vogue ambalo liko nyuma ya nyumba yake hii ya kifahari. 
Wananchi wengi sana wamesifu hatua hii ya kulea wafanyakazi ambayo inatakiwa ifuatwe na blog nyingine kama ile ya nanihii yule wa http://michuzijr.blogspot.com/ au yule wa http://othmanmichuzi.blogspot.com/

No comments: