PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BLOG HII ISIYO NA ISHU INAFANYA RISECHI YA MAPENZI aka MALOVE


Je kati ya vitu vifuatavyo, ni vipi ambavyo wewe na mpenzi wako wa moyo, ambaye akiwa mbali nawe huna raha, na ambaye unataka kuishi nae  mpaka kifo kiwatenganishe, ambaye hakuna kitu utakachomnyima akiomba, huwa daima mnatumia pamoja?
1.     Funguo za nyumba yenu
2.     Simu ya mkononi
3.     Mswaki
4.     Kadi ya ATM
5.     Password ya facebook

Comments