PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BIG BROTHER 2013 YAZINDULIWA

HAYA TENAAAAAA tabu imeanza, BIG BROTHER ule mchezo ambao umeshawahi kulaaniwa na Wabangi ambao baada ya huenda kuuangalia ili wapate pointi za kuulaani kesho yake umeaanza. Tanzania kuna mdada anaitwa Mkwanja, na mkaka mwenye jina kama maduka ya biashara ya kuku wa kukaanga....... Blog hii isyokuwa na uhakika wa kusema ukweli daima nayo itakuwa inawaletea skandali za kila siku, maana mchezo wa kuweka wanaume rijali , na wadada warembo katika nyumba moja miezi mitatu ni njia tu ya kuhakikisha skandali zinakuweko.

Comments