HATUPIMI BANDO

20 May 2013

ANGALIA PICHA YA DIAMOND, NEY WA MITEGO WAKIFANYA KUFURU LAIV

Blog yenu ambayo inasifa za wazi kabisa kuwa haina maana kabsaaa kabsaaa, imepata picha ikionyesha wasanii wakubwa wawili wakifanya kufuru laiv. Ukiangalia kwenye hiyo picha nyuma kabisa kuna jamaa kavaa miwani kavua na shati, huyo alikuwa mwandishi wetu wa mambo yasiyo ya burudani ambae ili kumkomesha huwa tunamtuma kwenye shughuli za burudani ili akikataa afukuzwe kazi mara moja. Mwandishi wetu huyu ambaye ni wazi ni muongo wa kutupwa, alituambia eti kutokana na Ney kuwa tayari alishavua suruali kama inavyoonekana katika picha, kisha akawa anapeleka mkono wake kwa Diamond, ambaye alionekana kupigwa mshangao au alikuwa anangojea aajue mkono unakoelekea, ilikuwa wazi walikuwa aidha wanafanya au wanataka kufanya kitendo cha kufuru laiv. Tunajaribu kugugo ili tupate Yutyubu yake tuone kiliishia nini? Subirini hapahapa tugugo kwanza.....................

No comments: