PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

UNAENDA WAPI NA HUYO NGURUWE?

Mume na mke walikuwa wamemaliza bonge la ugomvi, mke akamchukua paka aende nae nje kupotyeza mawazo
MUME: Na we unaenda wapi na huyo nguruwe?
MKE: Huyu sio nguruwe ni paka
MUME: Sikuwa naongea na wewe tafadhali nilikuwa naongea na huyo paka

Comments