HATUPIMI BANDO

1 April 2013

NAKUDANGANYA LEO SIKUKUU YA WAJINGA

DOGO: Mama kuna mwanaume anacheza na dada chumbani kwake
MAMA: Yaani huyu msichana katoka kwao anakuja hapa ananiletea wanaume mpaka ndani atanikoma leo
DOGO: Nakudanya mama, leo sikukuu ya wajinga, anacheza na baba.

No comments: