PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

WIKI MOJA KABLA YA HARUSI

WIKI MOJA KABLA YA HARUSIII....
BWANAHARUSI : Kesho tuna party ya mabachela wenzangu kuniaga
BI HARUSI: Hizo party hakuna kitu zaidi ya pombe kali, na machangudoa uhuni mtupu unafanyika huko
BWANAHARUSI: Sio hivyo mi tutakunywa juis tu na kupata ushauri kwa wenzangu
BIHARUSI: Unanidanganya nini? Nimeshashiriki party nyingi za kuaga ubachela
BWANAHARUSI: Mungu wangu

Comments