PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

WAIF Si KANIRUDISHIA CHENJI

Jamaa alikuwa kakaa kwenye meza moja ya baa akiwa kajiinamia kwa mawazo. Rafiki yake akaingia;
BOZO: Vipi wewe mbona hivyo?
BAZA: Aise hizi pombe tunakunywa lakini mbaya sana
BOZO: Vipi tena?
BAZA: Si jana nimerudi nyumbani ndiii, sinikadai haki yangu ya ndoa, ndugu yangu nilipomaliza sinikatoa shilingi alfu kumi nikamlipa waif
BOZO: Du hiyo kali, lakini siyo jambo la kuwazia kiviiiile
BAZA: Tatizo ni kuwa alinirudishia chenji ya alfu tano

Comments