HATUPIMI BANDO

6 November 2012

UNA MATATIZO MAWILI

DAKTARI; Mheshimiwa una matatizo mawili makubwa. Moja kubwa jingine dogo sijui nianze na lipi?
MGONJWA: Anza na kubwa
DAKTARI:Kwanza kubwa una UKIMWI, na tatizo la pili tuite dogo, unatatizo kubwa sana la usahaulifu
MGONJWA: Dah nashukuru sina UKIMWI

No comments: