HATUPIMI BANDO

9 November 2012

UMEPATA TXT YANGU?

MUME akiwa baa kamtumia mkewe txt.....'Aise nifulie nguo zangu, halafu hakikisha umeniwekea chakula ntachelewa kurudi'. Baada ya muda akatuma txt nyingine....'Aise nimepandishwa cheo kazini kwa hiyo ntakununulia iPhone kesho'.. Mke akajibu' 'Dah thanx mume wangu' Mume akatuma txt nyingine...'Hakuna iPhone wala nini nilikuwa nacheki tu kama umepata hiyo txt yangu ya kwanza'

No comments: