HATUPIMI BANDO

10 November 2012

TICHA GEUZA

Mwalimu mgeni alikuja na kuanza kuita majina ya wanafunzi darasani;
Jaki-nipo
Devi-nipo
Teddy-nipo
Carol-nipo
Vanila-nipo
Makene-nipo
Seif-nipo
Geuza-
Geuza- huyu Geuza yuko wapi? Hapo ndipo monita alipomnong'oneza kitu Ticha tukaona anageuza karatasi na kuendelea kuita majina


No comments: