PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

TATIZO SINA USHAHIDI WA UHAKIKA

Jamaa alimlalamikia rafiki yake;
JAMAA: Mke wangu nampenda, na siyo kwamba simuamini ila kuna kakitu knanisumbua kuwa si mwaminifu lakini sina ushahidi
RAFIKI: Naelewa hiyo hali ngoja tusubiri. WIKI MBILI BAADAE JAMAA AKAWA ANASAFIRI AKAMUOMBA RAFIKI YAKE AFANYE UCHUNGUZI KAMA MKEWE ATAVUNJA UAMINIFU. SIKU ALIPORUDI AKAMFUATA RAFIKI YAKE
JAMAA: Vipi kuna kilichotokea?
RAFIKI: Sana tu, siku umeondoka tu usiku akaja jamaa akaingia chumbani kwako nikawa na muona kupitia tundu kwenye dirisha, jamaa akavua shati,halafu wakazima taa sikuona tena kitu. Jamaa akaondoka alfajiri
JAMAA: Dah kwa hiyo walipozima taa hukuona tena kitu?
RAFIKI: Sikuona
JAMAA: Hapo ndipo panaponisumbua nakosa kabisa ushahidi wa uhakika

Comments