PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

SWEETY NIMEKUNUNULIA BB NJOO

DEVI: Hello Karo mambo? Uko wapi mida hii?
KARO: Niko bwenini hapa chuoni
DEVI: Nilikuwa nataka kukuona
KARO: Sorry jamani tuna assignment yaani siwezi kutoka kabisa
DEVI: Nilikuwa nimekununulia BB hapa. Haya basi kama huji
KARO: He nakuja jamani lakini nitakaa kidogo tu, love you..... Karo haraka akawataarifu wenzie
KARO: Boyfriend wangu kaninunulia Blackberry naenda kuichukua......akatimka haraka sana
KARO:Vipi darling umenisubiri sana? Sorry love, ilikuwa lazima nioge si unajua mi mwanamke, halafu sikutaka kukutia aibu nikaja raf. Ehhe BB yangu iwapi?
DEVI: Oh karibu mama mbona kiherehere, ngoja wakuletee. Waiter hebu leta Bia Baridi  2 hapa
KARO: mbona sijakuelewa?
DEVI: BB ni kifupi cha Bia Baridi kwani kuna nini? 

Comments