PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

PEDESHE DOMOKUNUKA

Pedeshe kaenda kutembelea mali zake. Wakati binti anaoga jamaa akawa anapekua simu ya mdada. Akaanza kucheka majina aliyoyakuta kwenye Contacts- Masikio, Bichwa Coco, Wasokoni, Muhindi Koko, Mizisheni Bia, Mizishen Mkongo, Ikulu man, Tapeli Mshamba, Fala wa Fesibuk, Pua Ndefu. Akaona ajibipu namba yake jina DOMOKUNUKA

Comments