HATUPIMI BANDO

4 November 2012

NOTI YA SHILINGI ALFU NANE

Tapeli moja mjingamjinga alikuwa na nia ya kutengeneza noti bandia za shilingi alfu kumi, si akakosea kaandika 8000. Akastuka tayari ana noti kibao za shilingi alfu 8, akaona hata hivyo ajaribu bahati yake aende benki akazichenji. Akatoa pesa kaunta akaomba chenji, pesa zake zikapokelewa akapewa chenji ya noti za shilingi alfu nne nne

No comments: