HATUPIMI BANDO

9 November 2012

NIMEPATA FARAJA SANA

Baada ya kulala wiki nzima nyumbani kwa kuugua malaria hatimae jamaa alirudi kazini;
BOSI: Unajisikiaje sasa?
JAMAA: Bosi najisikia fresh, japokuwa kuugua kwangu kumenipa furaha na faraja sana
BOSI: Umefurahi kuugua?
JAMAA: Mke wangu kanifurahisha sana, maana nilipokuwa home mwanaume yoyote akigonga mlango mke wangu alikuwa akitangaza kwa nguvu, Mume wangu yupo, mume wangu yupo, hii ilionyesha anavyonipenda na haoni aibu kutangazia ulimwengu kuwa mimi ni mumewe

2 comments:

Anonymous said...

Jamaa nae bwegee!!

John Kitime said...

HASWAAAAAAA