HATUPIMI BANDO

11 November 2012

NAOMBA NAFASI YA MHARIRI MKUU

MWANDISHI: Mzee nimesikia Mhariri Mkuu amefariki ghafla. Naomba niwahi kuomba kuchukua nafasi yake
MKURUGENZI WA GAZETI: Kimsingi mimi sina tatizo ila nina wasiwasi kama kule mochwari watakubadili mbadilishane nafasi

No comments: