HATUPIMI BANDO

11 November 2012

NANI AOLEWE NA MJINGA?

MUME: Nikifa nataka uuze nguo zangu zote
MKE: Kwanini tena?
MUME: Sitaki uje uolewe na mjinga mwingine,  halafu aanze kuvaa nguo zangu
MKE: Nani kakwambia ntaolewa tena na mjinga mwingine?

No comments: