HATUPIMI BANDO

9 November 2012

NALIPA KISASI ALINIUZIA SIMU FEKI

MZEE  alikuwa hoi hospitali;
MZEE: Mke wangu naomba nikifa uende ukaolewe na Baba Ubaya
MKE: Ukifa sitaki kuolewa tena
MZEE: Tafadhali huo ndio wosia wangu
MKE: Jamani kwanini?
MZEE: Baba Ubaya alinitapeli mwaka jana akaniuzia simu feki

No comments: