HATUPIMI BANDO

12 November 2012

MWONGOZO NDUGU SPIKA

MBUNGE 1:Humu ndani nusu ya Wabunge ni waoga na mafisadi
MBUNGE 2: Mwongozo Mheshmiwa Spika, Mbunge aliyepita ametumia lugha ya maudhi, kitu ambacho ni kinyume cha taratibu
SPIKA: Mheshimiwa Mbunge tafadhali badili kauli
MBUNGE 1:Samahani Mheshiwa Spika, ni hivi nusu ya Wabunge humu ndani sio waoga na sio mafisadi

No comments: