PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MTOE UPESI ALINIBAKA HUYO

Jamaa alikuwa amelala na mkewe akasikia sauti ya paka akilia kwa uchungu nje ya dirisha lake, akatoka nje, kwa maajabu akamkuta panya anambaka paka. Akaangalia mpaka mwisho hakuamini macho yake, akamkamata panya yule kabla hajapata akili sawasawa na kwenda kumsogeza kwa mbwa jike aliyekuwa naye, panya haraka akamuwahi mbwa na kumbaka 'live'. Jamaa akaona hii kali kuliko zote heri akamwambie mkewe. Akamchukua panya na kwenda nae chumbani kwake, akamuamsha mkewe, ile mke kumuona tu yule panya, akapiga ukelele;
MKE: Mtoe mtoe mshenzi huyo alinibaka jana huyo mtoe upesi.

Comments