HATUPIMI BANDO

11 November 2012

MASTER KEY

Dunia haina haki, mwanamke akiwa na mabwana 6 anaitwa malaya, mwanaume akiwa na wanawake 6 anaitwa 'kidume'. Au ndio kama hadithi ya funguo na kufuli? Kufuli likiweza kufunguliwa na funguo nyingi inaitwa kufuli mbovu, funguo moja ikiweza kufungua kufuli nyingi inaitwa 'Master Key'

No comments: