HATUPIMI BANDO

10 November 2012

KUMI KUJUMLISHA KUMI

Dogo alikuwa kajua kuhesabu kwa vidole, na mjomba wake alipokuja kuwatembelea haraka sana akataka kumuonyesha kuwa anajua kuhesabu;
DOGO: Mjomba niulize hesabu za kujumlisha
MJOMBA: Nne kujumlisha tatu?.....Dogo akahesabu vidole
DOGO: Saba
MJOMBA: Safi sana lakini kuna siku mwalimu atakukataza usihesabu vidole hebu weka mikono mfukoni nikuulize hesabu. Tano kujumlisha tano?
DOGO:(Dogo katulia kidogo) Kumi na moja

No comments: