PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KONDOM ZATOBOLEWA NA PINI

Wadada watatu walikuwa wamekaa pamoja wakinywa juisi kwenye mgahawa;
MDADA 1: Najua mume wangu sio mwaminifu jana nimekuta chupi ya mwanamke kwenye mfuko wa koti lake
MDADA 2: Hata wangu siyo muaminifu, jana nimekuta condom kwenye mfuko wake wa suruali , nilichofanya nikachukua pini nikazitoboa toboa zote nikazirudisha kwenye mfuko.
MDADA 3 ghafla kapaliwa na juisi na kudondoka akazimia

Comments