HATUPIMI BANDO

3 November 2012

HII KONDOM NIMENUNUA NIJISITIRI

Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu, akashushiwa kipigo cha haja, lakini akaweza kutoroka na kutimka bila nguo moja kwa moja mpaka kwake;
MKE: He jamani kunani? Mbona hivyo?
MUME: Majambazi mke wangu, wamenikamata hapahapo wakaninyang'anya kila kitu mpaka nguo halafu wakanipiga sana
MKE: Naona halafu wakakuvalisha condom
MUME: Aaaahaa hii kondom, nimenunua njiani nijisitiri baada ya kuona yaani niko mtupu kabisa

No comments: