HATUPIMI BANDO

4 November 2012

HEBU NI TAG

TRAFIKI: Hello samahani mheshimiwa hapa kuna ajali mbaya imetokea, na mama mmoja amefariki, tumeambiwa ni mkeo,  tafadhali njoo hapa Muhimbili kumtambua
JAMAA: Aise niko bize kishenzi, hebu mpige picha halafu uni tag kwenye facebook , kama ni yeye mimi nita 'like'

No comments: