HATUPIMI BANDO

7 November 2012

DOKTA NISAIDIE NAKOROMA

CHEKIBOB: Dokta nina tatizo kubwa
DOKTA: Nini tena?
CHEKIBOB: Nikilala tu naanza kukoroma tena kwa sauti
DOKTA: Lazima mkeo analalamika
CHEKIBOB: Mi sijaoa
DOKTA: Basi kama unalala peke yako hilo si tatizo
CHEKIBOB: Tatizo kubwa dokta nimeshafukuzwa kazi sehemu tatu

No comments: