HATUPIMI BANDO

1 November 2012

BINTI BOMBAA NA DAKTARI

Bi Kizee kasindikizwa na mjukuu wake wa kike mwenye shepu ya nguvu kwenda hospitali kwa kuwa alikuwa anaumwa wakaingia chumba cha dokta;
MJUKUU: Habari za leo dokta, tunaumwa tumekuja kupimwa.
DOKTA: Haya ingia nyuma ya pazia, vua nguo zote lala kwenye hicho kitanda upimwe
MJUKUU: Siumwi mimi ni bibi anaumwa
DOKTA: Dah kumbe bibi, haya bibi fungua mdomo tuangalie kinywa.

No comments: