PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BABA YANGU ALIKUWA BOI KWENU

Tajiri mmoja mwenye kiburi alitengeneza party kubwa akakaribisha watu mbalimbali. Lakini akashangaa kuna mgeni moja likuwa kafanana nae sana, kwa vile baba yake alikuwa chupi mkononi alipokuwa kijana jamaa akafikiria yule jamaa pengine ni ndugu yake.  Akaona amuende jamaa;
TAJIRI: E bwana hujambo?
JAMAA: Sijambo
TAJIRI: Naona tunafanana sana, je mama yako aliwahi kufanya kazi ya uyaya kwetu?
JAMAA: Hapana ila baba yangu aliwahi kuwa boi kwenu kwa miaka mingi tu.

Comments