PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

ACHA UMBEYA

Jamaa karudi toka kazini kakuta mkewe analia;
JAMAA: Vipi tena kuna msiba?
MKE: Hapana mama yako kanitukana
JAMAA: Mama yangu yuko kijijini Mgama Iringa, simu hana kakutukanaje?
MKE: kuna barua ilikuja ina jina lako nikafungua, kumbe imetoka kwake, eti kaandika, WE MJINGA NAJUA KWA UMBEYA WAKO UTAKUWA UMEFUNGUA BARUA YA MWANANGU, USISAHAU KUMPA UKISHAMALIZA KUSOMA

Comments