HATUPIMI BANDO

5 October 2012

TATIZO MUME WANGU

Jamaa alimsindikiza mkewe hospitali kwa ajili ya matibabu, kufika hospitali, dokta akamwita mke kwenye chumba cha matibabu.
MKE: Lazima niingie na mume wangu
DOKTA: Mama mi ni daktari na ninajiheshimu, hakuna kitu kibaya kitatokea
MKE: Tatizo si wewe, ni mume wangu. Hajiheshimu na nimemuona anamuangalia nesi hapo nje.

No comments: