PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAKUTAFUTA UNIPE CHAJA

Jamaa aliibiwa simu yake, baada ya siku 3 akaona anajaribu tu kupiga simu yake aone kama itapatikana, kupiga akashangaa akakuta iko hewani;
JAMAA: Hallo mambo, mi ndie mwenye simu hiyo, we nani mwenzangu na uko wapi?
SAUTI: Aise loh afadhali toka juzi nakutafuta
JAMAA: Kweli ehh dah we muaminifu, unataka kunirudishia simu?
SAUTI: Hapana nilikuwa nakutafuta unipe chaja yake bwana ntakuona wapi?

Comments