HATUPIMI BANDO

3 October 2012

KWANINI MUUWE MBUZI?

Magaidi wawili waliingia kwenye bar. wakamuita mhudumu;
GAIDI 1: Hebu tuletee bia mbili mbili, tukishamaliza kunywa tunataka kulipua bomu tuuwe japo watu 20 humu ndani na mbuzi 1
MUHUDUMU: Kwanini muue na mbuzi?
GAIDI 1: Si unaona nilikwambia ukiua watu 20 watu hawajali, ila mbuzi mmoja wanaulizia kwanini

No comments: