HATUPIMI BANDO

5 October 2012

KANIFUMANIA NA MKE WANGU

Bosi kakutwa baa kalewa mchana;
RAFIKI: Vipi mkuu konyagi mchana wote huu?
BOSI:Sekretari wangu katoa notisi ya masaa ishirini na nne jana
RAFIKI: Kunani tena mbona mlikuwa mnapatana sana?
BOSI: Alinifumania nimemtoa out mke wangu

No comments: