HATUPIMI BANDO

5 October 2012

JE UNATAKA KUONDOA TATTOO YAKO?

Je umeshaichoka tattoo yako?, Au umri umekwenda umegundua kumbe ulifanya ujinga kujichora tattoo? Au tattoo yako ilikuwa na jina la mpenzi ambaye mliachana zamani sasa unataka kuolewa? Au unategemea kugombea Ubunge, Urais  tatizo una tatoo ya kusifia bangi? Matatizo yameisha kifaa kipya kabisa cha kukwangua na kuondoa tattoo kimegundulika nunua na uweze kufuta tattoo mwenyewe ukiwa chumbani kwako

No comments: