HATUPIMI BANDO

2 September 2012

TUNYOLEWE BURE

Jamaa kaingia na mtoto kwa kinyozi,akaomba anyolewe nywele ndevu, atengenezwa kucha, uso ukasuguliwa, basi akawa msafii. Kisha akatoa amri mtoto anyolewe, mwenyewe akaaga kuwa anaenda kumnunulia mtoto viatu. Masaa matatu yakapita jamaa haonekani;
KINYOZI: Oyaa baba yako kakusahau?
MTOTO: Yule sio baba yangu, mi nilikuwa napita tu hapo nje, akanishika mkono akanambia tuingie hapa tunyolewe bure

No comments: