PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

SUKARI INAPATIKANA WAPI?

Katika somo la Jiografia mwalimu akauliza;
MWALIMU: Katika Tanzania sukari inapatikana wapi Juma?
JUMA:Sijui
MWALIMU: Lazima unajua, wewe si unatumia sukari kila siku. Haya jibu sukari inapatikana wapi?
JUMA: Dukani kwa Mchaga


Comments