PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAUFUNGA MDOMOWANGU

NAUFUNGA MDOMOWANGU
NAUFUNGA MDOMO WANGU

LEO MWEZI UNAISHA

Jelo kamkuta rafiki yake Devi kajiinamia kwa mawazo;
JELO: Vipi ndugu yangu?
DEVI: Sina raha mwanawane
JELO: Nambie
DEVI: Mke wangu alinambia hataongea na mimi mwezi mmoja
JELO: Duh sasa ndio unataka kulia?
DEVI: Lazima nilie ndugu yangu. Leo ndo tunamaliza mwezi raha inaisha

Comments