HATUPIMI BANDO

4 September 2012

BINTI ANA MIMBA KABISA


Juha kaenda kutoa posa kaambiwa mahari milioni tano. Kaja juu kwa mshangao 'Hee kwa ajili gani hiyo milioni tano? Hapo jirani nimeambiwa laki mbili halafu binti mwenyewe ana mimba kabisa tayari acheni utapeli shenzy nyie'

No comments: