HATUPIMI BANDO

2 September 2012

BABA HAMPENDI KABISA MCHUMBA WANGU

Joni alishafikisha miaka 37, rafiki zake wote walikuwa wameoa alibaki yeye tu akiendelea kubadili wapenzi kila wiki. 
RICHI: Oyaa utaoa lini?
JONI: Bwana tatizo ni mama yangu, kila mchumba ninaye mpeleka kwake hampendi.
RICHI: Si umtafute anayefanana nae amkubali umalize tatizo?
JONI: Nilimpata mmoja akampenda sana wakawa marafiki wakubwa.
RICHI: Sasa?
JONI: Baba hampendi kabisa huyo mchumba

No comments: