PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Weita leta filigisi ya twiga


Kaiza: Weita leta menu
Weita: Mzee hatuna menu, we agiza chochote kile sisi tunacho. Kaiza akaona amtanie weita.
Kaiza: Poa basi niletee wali kwa filigisi ya twiga
Weita: Hakuna tabu mzee subiri....Baada ya muda Weita akarudi
Weita:Samahani mzee odayako hatuna, agiza kingine
Kaiza: We si umesema una kila kitu.
Weita
: Ndio mzee, lakini bahati mbaya saa hizi tumeishiwa mchele mzee

Comments