PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Watayarishaji ni wababishaji........

Jamaa kanunua tiketi mbili za bahati nasibu, na tiketi moja ikashinda zawadi ya shilingi milioni tano. Akawa anahojiwa na mtangazaji Millard.
Millard: Je unajisikiaje baada ya kushinda milioni 5
JAMAA: Kwa kweli sina raha kwa kuwa nimepata hasara ya hii tiketi nyingine ambayo haikushinda kitu, hawa watayarishaji wa bahati nasibu hii, ni wababaishaji wa hali ya juu

Comments