PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Wakunyumba ataka kurusha ngumi kwenye lifti


Jamaa mmoja toka kuli kwa watani zangu alipata pesa baada ya kuuza tumbaku akaamua aje Dar akatanue. 
WAKUNYUMBA: Webwanawi nipelek kwenye hoteli ya gharama, natak kwenda kula bata.  Akapelekwa. Akaandikisha chumba bei shilingi alfu 60 kwa siku, akasindikizwa na mhudumu wa hoteli si akaanzisha vurugu;
WAKUNYUMBA: Hamuwezi kunifanya mi mjingi bwana. Nimilipa alfu stini mnanip kichumbi kidogu hivi? Ntamchinj mtu sas hivi.
MHUDUMU: Mzee subiri punguza ukali, tuko kwenye lifti hatujafika kwenye chumba chako BADO

Comments