PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Vp Swity


MBABA: Vp swity
MDADA: Poa wewe je?
MBABA: Leo kimya sana
MDADA: Nipo halafu nilikuwa nawaza tutoke
MBABA:Unataka kwenda wapi (msg pending)
MDADA: Vipi mbona kimya upo?
MBABA: Nipo swity, unataka kwenda wapi (msg pending)
MDADA: Vipi unanidharau kwa kuwa uko na mkeo?
MBABA: Siwezi kufanya hivyo swity, wewe ndio kila kitu (msg pending)
MDADA: Mi ndo ujinga huo huwa sitaki, ukiwa na mkeo unanidhrau, kama hivyo mimi basi
MBABA: Usiniletee upumbavu kwenda zako (msg sent)

Comments