PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Vidonge vya akili

FALA: Aise mbona we una akili sana?
MJANJA: Natumia vidonge vya kuongeza akili
FALA: Na mimi naomba
MJANJA: Ntakuletea...kisha akaenda kuokota mavi ya mbuzi akamtafuta Fala
MJANJA: Vidonge hivi hapa anza kutafuna
FALA:(Baada ya kutafuna kimoja) Hmmm mbona vinakuwa kama mavi ya mbuzi?
MJANJA: Unaona vimeanza kufanya kazi, ukimaliza kumi mtihani wowote unapasi

Comments