PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Vichwa vya samaki

Kuna rafiki zangu wanapenda sana kula vichwa vya samaki, wengine wanadai kuwa vichwa vya samaki vinaongeza akili. Swali langu dogo tu. Je, unajuaje kama huyo samaki unaemla hakuwa chizi kabla ya kuvuliwa?

Comments